Sarafu-imara
Hela ya kidijitali kwa matumizi ya kila siku
Sarafu-imara ni ishara za Ethereum zilizoundwa kua na thamani ya kudumu, hata pale bei ya ETH inapobadilika.

Kwanini sarafu-imara?
Sarafu-imara ni sarafu-za-kripto zisizo na utete. Zina changia nguvu sawa na ETH lakininthamani yao ni thabiti, iko kama sarafu za jadi. Kwahiyo unapata fedha imara unazoweza kutumia kwenye Ethereum. Jinsi sarafu-imara zinavopata uimara wake
Sarafu-imara ni za ulimwengu, na zinaweza kutumwa kwa mtandao. Ni rahisi kuzipokea au kuzituma pale unapokua na akaunti ya Ethereum.
Mahitaji ya sarfu-imara ni makubwa, kwahiyo unaweza ukapat faida kwa kukopesha zako. Hakikisha unazitambua hatari kabla ya kukopesha.
Sarafu-imara zinaweza kuabdilishwa kwenda kwenye ETH na ishara zinginezo za Ethereum. Dapps nyingi zinategemea sarafu-imara.
Sarfu-imara zinalindwa na kriptografia. hamna mtu atakaeweza kughushi muamala badala yako.
Pizza isiomaarufu ya Bitcoin
Mwaka 2010, jamaa fulani alinunua pizza 2 kwa bitcoin 10,000. Kwa wakati huo bitcoin ililkua na thamani ya dola ya Marekani ~$41. Kwenye soko la leo hayo ni mamilioni ya dola. Kuna miamala ya kufanana yenye majuto kwenye historia ya Ethereum. Sarafu-imara hutoa suluhisho juu ya tatizo hili, ili uweze kufurahia pizza yako na kuendelea kushikilia ETH yako.
Tafuta sarafu-imara
Kuna mamia ya sarafu-imara zinazopatikana. pata msaada hapa ili uweze kuanza. Kama wewe ni mpya kwenye Ethereum, tunashauri ufanye uchuguzi kiasi kwanza.
Chaguzi za Mhariri
Mifano ya sarafu-imara zinazojulikana zaidi hivi sasa na sarafu tulizoona zinamanufaa wakati wa kutumia dapps.
Dai
Kunauwezekano kua Dai ndio sarafu-imara maarufu iliyogatuliwa. Thamani yake ni takribani dola 1 ya kimarekani na inakubalika kwa upana kati ya dapps.

USDC
Kuna uwezekano kua USDc ndio sarafu maarufu kati ya sarafu-imara zinazobebwa na fedha ya fiat. Thamani yake kwa kukadiria ni kama dola moja hivi na inabebwa na Circle na Coinbase.

Sarafu-imara za juu katika mtaji wa soko
Mtaji wa soko ni idadi ya jumla ya ishara zilizopo mara thamani kwa ishara. Orodha hii inabadilika badilika na miradi iliyoorodheshwa hapa sio lazima ziwe zimepitishwa na timu ya ethereum.org.
Sarafu | Mtaji wa soko | Aina ya dhamana | ↗ |
---|---|---|---|
![]() | $98,667,784,835 | Fiat | Go to Tether(opens in a new tab) |
![]() | $28,766,353,112 | Fiat | Go to USDC(opens in a new tab) |
![]() | $4,989,917,628 | Kripto | Go to Dai(opens in a new tab) |
![]() | $1,285,473,051 | Fiat | Go to TrueUSD(opens in a new tab) |
![]() | $645,323,039 | Maelekezo | Go to Frax(opens in a new tab) |
Jinsi ya kupata sarafu-imara
Utakachohitaji
Utahitaji pochi ili kuidhinisha mbadilisho na kutunza sarafu zako
Kulipia mbadilisho
Kidokezo cha mhariri
Jipatie pochi itakayokuwezesha kununua ETH na kubadilisha ishara, pamoja na sarafu-imara, moja kwa moja.
Tafuta pochiDapps za kubadilisha ishara
Kama ulishapata ETH na pochi, unaweza kutumia dapps kubadilisha sarafu-imara. Zaidi juu ya mabadilishano yasiyotawaliwa na serikali
Utakachohitaji
Akaunti yenye sehemu ya kubadilishia au pochi inayokuwezesha kununua kripto moja moja. Inawezekana umeshatumia moja kununua ETH. Kagua huduma unazoweza kutumia unapoishi.
Kagua huduma unazoweza kutumia unapoishi
Utakachohitaji
Sarafu-imara ni mbinu nzuri ya malipo na huduma kwasababu thamani yake haibadiliki. Ila utahitaji pochi ili ulipwe.
Utahitaji pochi ili kupokea sarafu-imara ulizoshinda
Wapi pa kujipaytia sarafu-imara
Haya ni majukwaa yatakayokulipa kwa sarafu-imara kwa kazi uliyofanya.


Utakachohitaji
Kuazima srafu-imara unahitaji kutumia dapp ilio sahihi. Utahitaji pochi na kiasi cha ETH.
Utahitaji pochi ili kutumia dapp
Utahitaji ETH kwa dhamana na/au kwa ajili ya malipo ya muamala
Dhamana ya Kripto
Na Ethereum unaweza kukopa moja kwa moja kutoka kwa mtumiaji mwingine bila kuuza ETH zako. Hii itakupa faida - wengine hufanya hivi ili kukusanya ETH zaidi. Zaidi juu ya sarafu imara zinazobebwa na kripto
Lakini kwasababu bei ya ETH inapanda na kushuka sana, utahitaji dhamana ya ziada. Hii inamaana kama unataka kuazima sarafuimara 100 wenda ukahitaji angalau dola 150 za thamani ya ETH. Hii hulinda mfumo na mkopeshaji.
Sehemu za kukopa sarafu-imara
Hizi dapps hukuwezesha kukopa sarafuimara kwa kutumia kripto kama dhamana. Baadhi hupokea ishara zingine pamoja na ETH.
Hatari
Ukitumia ETH kama dhamana na thamaniu yake ikashuka, dhamana yako haitafunika sarafu-imara ulizouunda. Hii irasbabisha ETH yako yote kuchukuliwa na unaweza kupewa adhabu. kwa hiyo unapoazima sarafu-imara unahitaji kuangalia bei ya ETH. Vissisho vya ETH vya hivi karibuni
Weka akiba na sarafu-imara
Sarafu-imara huwa na hutoa riba ya juu ya wastani kwasababu kuna mahitaji makubwa ya kuzikopesha. Kuna dapps zitakazokuruhusu kupewa riba kwenye sarafu-imara ulizonazo kwa wakati halisi unapoziweka kwenye bwawa la kukopesha wengine. Kama ulimwengu wa kubenki, unasambaza ishara kwa wakopeshaji lakini unaweza kutoa ishara zako na riba iliyoongezeka mda wowote.
Dapps zinazopata riba
Fanya matumizi sahihi ya sarfu-imara ulizonazo na pata pesa zaidi. Kama kila kitu kwenye kripto, Mazao ya Asilimia ya Mwaka yaliotabiriwa (APY) yanaweza yakabadilisha kutegemea ugavi/usambazaji wa kila siku.
0.05%
Kiwango cha wastani kinacholipwa na benki kwenye akaunti za akiba za msingi, zilizo na bima ya serikali, Marekani. Chanzo(opens in a new tab)Jinsi zinavyofanya kazi: Aina ya sarafu-imara
Mara zote fanya utafiti wako mwenyewe
Algorithmic stablecoins are experimental technology. You should be aware of the risks before using them.Inategemezwa na fedha za fiat
Faida
- Salama dhidi ya utete wa kripto.
- Mabadiliko ya bei ni ya kima cha chini.
Hasara
- Ya kati -- mtu lazima atoe ishara hizo.
- Inahiataji ukaguzi kuhakikisha kampuni ina akiba ya kutosha.
Mifano ya kazi
Inategemea Kripto
Vyuma vya thamani
Maelekezo
Jifunze zaidi juu ya sarafu-imara
Dashboard & Elimu
- Nendato Stablecoins.wtf website(opens in a new tab)Stablecoins.wtfStablecoins.wtf hutoa ukurasa wenye historia iliojaa taarifa za masoko, takwimu, na maudhui ya elimu kwa sarafu-imara maarufu zaidi.